Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

DvXQvpOXcAAVJLx.jpg


😎
 
Haya maisha bro ukiyajulia raha sana. Mi ndo zangu hizo. Naendaga kinyume nyume na mategemeo mengi ya jamii, marafiki, familia na wengineo. Ni life yenye stress free nakwambia. Mpaka wananiulizaga. We mbona huna familia, nyumba wala gari lakini kila mara una furaha tu? Basi naishiaga kucheka tu bro. Maisha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Life style yako itakuwa ipo simple sana sasa kama ndio upo hvyo bro,,ni uamuz mzur lkn unaohitaj maamuz magumu sana
 
Back
Top Bottom