Ha ha ha ,,,jirani unaniangusha aisee,,kitu gani kimewapata aisee,,mmeanza kupoteza mapema sana
Ha ha ha ,,,jirani unaniangusha aisee,,kitu gani kimewapata aisee,,mmeanza kupoteza mapema sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole jirani,,naona sisi tunakuja polepole kwenye top fourNaona kuna mkono wa mtu pale, siyo bure! [emoji1][emoji1][emoji1]
Mimi nahamiaga timu zinazopigwa mara kwa mara. Mwaka jana nilikuwa Aseno nao wakazingua wakamtimua kamanda Wenga mwaka huu hovyo tu. Wakipigwa tena hawa ManC nahamia huko aisee [emoji16][emoji16][emoji16]Wamepigwa tena aisee,,unataka uhamie Man City tena??
Mbona huku anakukimbia?Huyu yupo mbona,,leo kuna mitaa nimemuona anapuyanga huko
Ha ha ha ha uko vzr aiseeMimi nahamiaga timu zinazopigwa mara kwa mara. Mwaka jana nilikuwa Aseno nao wakazingua wakamtimua kamanda Wenga mwaka huu hovyo tu. Wakipigwa tena hawa ManC nahamia huko aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Mbona huku anakukimbia?
Haya maisha bro ukiyajulia raha sana. Mi ndo zangu hizo. Naendaga kinyume nyume na mategemeo mengi ya jamii, marafiki, familia na wengineo. Ni life yenye stress free nakwambia. Mpaka wananiulizaga. We mbona huna familia, nyumba wala gari lakini kila mara una furaha tu? Basi naishiaga kucheka tu bro. Maisha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ha ha ha ha uko vzr aisee