Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna watu walikutana siku Moja, wakafahamiana siku hiyo hiyo moja, wakawa marafiki siku hiyo hiyo Moja, wakawa Wapenzi siku hiyo hiyo Moja na mpaka Sasa ni mke na mme mwaka wa Sita huu. Tusikariri kila kitu.
Kama ninavyosemaga mara kwa mara: Haya mambo hayana fomyula; na kuwa na vighairi (exceptions) ni jambo la kawaida...
 
455013514_56660.jpeg
 
Back
Top Bottom