Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

?utm_source=ig_share_sheet&igshid=rjkdt2p6j557.jpg
 
Inaripotiwa kwamba Mwanasoka wa Ghana Asamoah Gyan ambae aliwahi kuwa Mchezaji anayelipwa zaidi duniani akiwa anapokea zaidi ya Tsh. Milioni 658 kwa wiki amefilisika kwa sasa, inadaiwa Gyan ana Tsh. Milioni 1 na Laki 7 kwenye akaunti yake kwa sasa


View attachment 979181
Miafrika ndio tulivyo 😁😁😁😁😬😬😬😬😬😬
 
Back
Top Bottom