motooooo...
Miafrika ndio tulivyo πππππ¬π¬π¬π¬π¬π¬Inaripotiwa kwamba Mwanasoka wa Ghana Asamoah Gyan ambae aliwahi kuwa Mchezaji anayelipwa zaidi duniani akiwa anapokea zaidi ya Tsh. Milioni 658 kwa wiki amefilisika kwa sasa, inadaiwa Gyan ana Tsh. Milioni 1 na Laki 7 kwenye akaunti yake kwa sasa
View attachment 979181
Miafrika ndio tulivyo πππππ¬π¬π¬π¬π¬π¬
Amejiroga mwenyewe ππππ apambane na hali yakeUbwege Mtozeni! Pesa yote hiyo kafanyia nini? Aliendekeza maisha ya kifahari kupita kiasi kuhonga kwa sana sasa chaliii! Hakuna asiyependa kuishi kifahari BUT NOT TO THAT EXTENT.
ππππππ umejuaje??TOTO la bondeni
ππππππ umejuaje??