Ni kweli, wanawake wanapitia magumu sana katika mahusiano,jamii inahitaji elimu zaidi juu ya VVU .Kupima VVU na kumficha mkeo au mpenzi matokeo positive ni ukatili wa kiafya.
Kitu hiki kinahatarisha afya ya mwenzio.
Mi nimeligundua hilo asubuhi. Naona jamaa wameamua kupiga hela kwa sana. Kwa mtindo huu akaunti yao ya adsense itakuwa safi sana huko mbele ya safari. Kila baada ya comment 4 mzinga wa tangazo. Hovyo kabisa !!!Sijui ni kwangu tu, naona leo humu kuna matangazo mengi sana.
Kuna mengi yanasemwa kuhusu vichwa hivi mchongoko kutoka Misri ya Kale; na sehemu zingine duniani.View attachment 980036
[emoji1][emoji1]
Safiiiii........
Aisee....!