myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Weekend imeanza
KweliNidhamu ya pesa ni jambo nyeti sana hasa pesa nyingi inapokujia ghafla ukiwa na umri mdogo.
Itakuwa alizungukwa na genge la watu wabaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo safarini kulivuka hili likivuruge 2018. Mungu atusaidie tuvuke salama tukutane tena 2019 tukiwa na afya njema na sura zenye bashasha. View attachment 980102
Sent using Jamii Forums mobile app
he!! kuna mtu hafanyi kazi yake vizuriAnko safari njemaView attachment 980129
Mmmh jiraniiiihe!! kuna mtu hafanyi kazi yake vizuri