Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na nasikia huyo kiongozi wa yaliyotokea sixfour hakuwa na mchezo ukiingia kwenye anga zake. Unyama unyama tu ilikuwa...

Pole zake aisee. Ibrahim Hussein (Mashetani, Kinjeketile...) naye nasikia kidogo nati kadhaa zililegea kichwani...
Naam....

Alikuwa mbabe kweli... Mkamandume...

Na sielezi mengi ila... kaacha makovu mengi .... ndio maana hapakai sawa...

Yule bwana ..hakusubiri uingie anga zake alikuwa anakufata yeye mwenyewe...

Yeye na wafuasi wake walikuwa huru kufanya lolote ..hakuna sheria inawabana.

Visasi .... ... alinyoosha kwel kwel

Mlipaji alilipa zaidi ....

Ibrahim.... .... dah!

Lakini kwa mbali tukubali ukweli pia kwa jinsi kulivyokuwa huku... kulihitaji .. ..kiumbe mwenye umbo la mtu ila moyo waaaaa. .... ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20.jpg
 
Jeshi la Mgambo lilianzishwa kwa madhumuni gani? Kama ni ulinzi na Usalama wa ndani, Je Jeshi la Polisi halikuwa na uwezo au idadi tosha ya Askari? Kuwepo kwa Mgambo leo hii kuna manufaa gani?
Wakati ule iliamuliwa angalau kila mtanzania azijue mbinu za kivita. Kwamba kila mtanzania aliandaliwa kuwa askari wa kupigania nchi pindi adui anapojitokeza.
Kwahiyo ilikua ukimaliza form 6 unapitia JKT kwenda kufundwa, na kama hujafika kwenye level hiyo unaenda mgambo. Nadhani ilikua hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaripotiwa kwamba Mwanasoka wa Ghana Asamoah Gyan ambae aliwahi kuwa Mchezaji anayelipwa zaidi duniani akiwa anapokea zaidi ya Tsh. Milioni 658 kwa wiki amefilisika kwa sasa, inadaiwa Gyan ana Tsh. Milioni 1 na Laki 7 kwenye akaunti yake kwa sasa


View attachment 979181
Nidhamu ya pesa, pesa ukiichezea na yenyewe inakuchezea hatimaye inaenda zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom