moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nidhamu ya pesa ni jambo nyeti sana hasa pesa nyingi inapokujia ghafla ukiwa na umri mdogo.Aisee,,jamaa kakosea wapi??
Itakuwa alizungukwa na genge la watu wabaya
Sent using Jamii Forums mobile app