mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kabisa....ukisubiri embe liive wengine wanataka bichi[emoji23][emoji23]Majamaa hayacheleweshagi [emoji16][emoji16][emoji16]
This is liver bhana
Japo wanasemaga eti ladha ya embe lilioachwa likaivia mtini na lililochumwa kabla ya muda wake yana ladha tofauti but who cares? [emoji16][emoji16][emoji16]Kabisa....ukisubiri embe liive wengine wanataka bichi[emoji23][emoji23]
Mkuu kwema lakini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Japo wanasemaga eti ladha ya embe lilioachwa likaivia mtini na lililochumwa kabla ya muda wake yana ladha tofauti but who cares? [emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu habari za weekend poleni sana kwa maangamizi niliyowafanyia jana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Poleni na mapumziko
Yap ilikuwa nzuri sana baada ya kumpa mtu kipogo kitakatatifujumamosi ya mwisho ya mwaka 2018
Huku salama kamanda. Nilikuwa nataka kuhama Aseno ila kwa kipigo cha jana ngoja nibakie bakie kidogo [emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu kwema lakini
Mkuu habari za jumapiliImeenda salama kabsa mkuu,tupo tunajiandaa kuuaga mwaka na kuukarbsha mwaka ujao
Nipo jirani na kona ya bwiru mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti niliyowafanyia jana wakati si ajabu ulikuwa Nansio huko unagonga supu ya sato. Ila kilikuwa kipigo kitakatifu kwa kweli....Mkuu habari za weekend poleni sana kwa maangamizi niliyowafanyia jana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sahihi kabisa kama sisi tunavyomuandaa SG kurudi pale kama Manager
Mamboz
5-1Arsenal vs Liverpool