Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hia wi gooooo !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha tu niendelee kuitwa Mlugaluga! [emoji23][emoji23]
Bilionea upo21:47
Walikiona cha mtema magogo kabisaArsenal leo amekiona cha mtema kuni! [emoji23][emoji23][emoji23]
Ulikuwa ujui
Hujambo carba
Nzuri mkuu mambo niaje
HahahahahaNi ya leo hii? [emoji116][emoji116][emoji116]
Ngoja nianzishe kampeni kamanda Wenga arudi tu kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Washabiki wa mipira mna shida kwa kweli...
View attachment 980856
Kama njaaa
Ulikuaje jana nilikwenda shamba wakati wa kurudi niwahi game nikapata break down dah so sad game nimecheliwa kabisa kuiona nimeona dk 30 za mwishoHiyo ni ya “reoreo” aisee! [emoji1][emoji1]... Mzee wa Liver huko aliko nadhani sasa hivi anakata kinywaji tu! [emoji1][emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] k vant situmii mkuuYale mapombe yake yale sijui maKVant yatamkoma leo aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eti shabiki wa Aseno [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 980862
Hakuna kama mamaNdio bro,,jamaa alikuwa kwenye mambo yetu
Halaf ilikuwa usiku mnene,mama akapata wasiwas usingz ukagoma ikabd amchek kijana
Khs kufika salama hatuwez faham,ujana una mambo meng bro
Na hii kwa wamama wote wanaojari,Mungu awabariki,muda mwingi wanatupigania watt wao tuepukane na mabalaa[emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nzuri upo kamanda
Hahahaha nafikiri dunia nzima zimeshafika
Mwaka wa matumainiKuelekea mwaka mpya