myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh!!!!!KUPENDWA NA MWANAMKE ASIYEPENDA HELA NI SAWA NA KULIKE PICHA HUKU UMEZIMA DATA
Duh!!!!!KUPENDWA NA MWANAMKE ASIYEPENDA HELA NI SAWA NA KULIKE PICHA HUKU UMEZIMA DATA
Aisee!!Wanawake wa Dar wana Viwango vyao vya Hela.. Ukiwa unampa 50,000-90,000 utakuwa unaitw aJina lako tu, Goodmorning Kelvin..Hallow Kelvin How is your Day...Goodnite Kelvin. Ukiwa unampa kati ya 100,000 na 150,000 utakuwa unaitwa DEAR...Morning Dear..Umeamkaje Dear..Dear Umekula??Usiku mwema Dear usisahau kuniamsha Asubuhi Ukiwa unatoa kati ya 200,000-300,000 hapa utakuwa unaitwa BABY...Baby Hows ur day..Baby naumwa kweli leo...Baby naenda Mwenge see u later Ukihonga 300,000 na kuendelea hawa ndo wanaitwa HUBBY AKE...Utapendwa wewe hadi ushaangae...Kila kitu Hubby Ake...Hubby nimejikwaa...Hubby ndo nafunga mlango...Hubby kuna Mende chumbani njoo tulale wote...Hubby hivi unanipenda??NA swali lao KUBWA,Hubby hivi utanioa lini?? Chagua jina unalotaka...Mahaba ya siku hizi ni kama MENU ya MPESA, Unajihukumu mwenyewe Wengi mtakuwa mnaishia kuitwa DEAR na BABY tu...Tikisa Wallet kidogo na wewe kabla hujafa uitwe HUBBY AKE, Ukifikia level ya kuitwa HUBBY basi hata ukijamba utasikia....pole HUBBY umeumia [emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Shwaini zako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jaman ifike mahali tuheshimiane, nimevumilia sana ila nimeshindwa. Kwa maoni yangu na sitaki kumponda mtu yeyote, baada ya kutafakari sana na kupima uzito kwa pande zote, ninachodhani na ninadhani na nyie pia mtakubaliana na mimi, maana ni jambo lipo wazi kabisa, ikibidi nitakumbusha na mifano kadhaa kwa mustakabali wetu kama kikundi, mi naomba tu niseme na nina sababu za kuamua kulisema hili hapa. Kwa sababu zilizo wazi na nahisi na nisinukuliwe vibaya nasema hivi,(ingawa kiukweli sijali itakavyotafsiriwa na wengine) na pia nataka wote muwe mashahidi, kwakweli hata sikumbuki nilikuwa nataka kusemaje.
*Msimu huu wa sikukuu. Ajali hutokea* *kwa sekunde moja lakini mateso yake* *hudumu maisha*. *Helmet na Condom zivaliwe kwenye* *vichwa husika kwa shughuli husika*.... *Hususani kama chombo sio chako.[emoji28][emoji16][emoji23][emoji2]
Wanawake wa Dar wana Viwango vyao vya Hela.. Ukiwa unampa 50,000-90,000 utakuwa unaitw aJina lako tu, Goodmorning Kelvin..Hallow Kelvin How is your Day...Goodnite Kelvin. Ukiwa unampa kati ya 100,000 na 150,000 utakuwa unaitwa DEAR...Morning Dear..Umeamkaje Dear..Dear Umekula??Usiku mwema Dear usisahau kuniamsha Asubuhi Ukiwa unatoa kati ya 200,000-300,000 hapa utakuwa unaitwa BABY...Baby Hows ur day..Baby naumwa kweli leo...Baby naenda Mwenge see u later Ukihonga 300,000 na kuendelea hawa ndo wanaitwa HUBBY AKE...Utapendwa wewe hadi ushaangae...Kila kitu Hubby Ake...Hubby nimejikwaa...Hubby ndo nafunga mlango...Hubby kuna Mende chumbani njoo tulale wote...Hubby hivi unanipenda??NA swali lao KUBWA,Hubby hivi utanioa lini?? Chagua jina unalotaka...Mahaba ya siku hizi ni kama MENU ya MPESA, Unajihukumu mwenyewe Wengi mtakuwa mnaishia kuitwa DEAR na BABY tu...Tikisa Wallet kidogo na wewe kabla hujafa uitwe HUBBY AKE, Ukifikia level ya kuitwa HUBBY basi hata ukijamba utasikia....pole HUBBY umeumia [emoji125]♂[emoji125]♂[emoji125]♂[emoji125]♂[emoji125]♂[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*WATU WA TUKUYU WAKIANZA KUAGANA WATAANZA SAA5 ASUBUI KUJA KUACHANA SAA TISA JIONI UKIULIZA HAKUNA CHA MAANA ZAIDI YA KUAGANATU NA KUPOTEZEANA MUDA BILA SABABU. andjul
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukisikia uchawi ndio huu sasa! [emoji1][emoji1][emoji1]
Hahahahahahahha anko banaJuzi kameniambia kuwa kamepangiwa Hedaru sec.
Ila sina uhakika kama uniq atasoma shule, uhuni mwingi mno... Yaani na utoto wake ule, kana mtoto mchanga[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 980674
Umetisheeeerrrr hhahahahahhaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mgeni: mubaki salama jama
Mwenyeji: ndagha jama.
Mgeni: hee!!! Nilisahau,Sauli eti ni
mbunge?
Mwenyeji: eee mbunge, ukamenye! [emoji23][emoji23]
Mgeni: sikuamini [emoji23][emoji23]ndagha jama..
Mwenyeji: haya wasalimie wote. Nasikia
Senga yupo Dar... Eembwanii..
Mgeni: [emoji3][emoji3][emoji3] ee alipo, ila zilimkuta
Chafu. Nae Wakuvwanga
amebadilisha jina ni mama Ima
Mwenyeji: [emoji23][emoji23][emoji23] mwe mwe unanifunja
mbafu hadi kuku
wananishangaa mimi.
Mgeni: [emoji23][emoji23][emoji23]unanichelewesha mimi,
hata Mwakyembe ni msanii wa
wa basata. Anaimba sana.
Mwenyeji: chubha chubha!! Mwakyembe
jujujuu!?! aah!kumbwani kununu
mwee!!!
Mgeni: ubhaponiege bhosa, anguisa
kangi [emoji137][emoji137]
Mwenyeji: ndagha [emoji137][emoji137]akunyaga kilabho
Na kesho tunaendelea na mapya[emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa yuu Cole Williams [emoji137][emoji137][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shwaini zako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa yego?Acha tu niendelee kuitwa Mlugaluga! [emoji23][emoji23]
Khaaa!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Slim girls during sex be like:[emoji117]Baby, wait wait, my bone is shifting[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni ya leo hii? [emoji116][emoji116][emoji116]Arsenal leo amekiona cha mtema kuni! [emoji23][emoji23][emoji23]