Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mgeni: mubaki salama jama

Mwenyeji: ndagha jama.

Mgeni: hee!!! Nilisahau,Sauli eti ni
mbunge?

Mwenyeji: eee mbunge, ukamenye! [emoji23][emoji23]

Mgeni: sikuamini [emoji23][emoji23]ndagha jama..

Mwenyeji: haya wasalimie wote. Nasikia
Senga yupo Dar... Eembwanii..

Mgeni: [emoji3][emoji3][emoji3] ee alipo, ila zilimkuta
Chafu. Nae Wakuvwanga
amebadilisha jina ni mama Ima

Mwenyeji: [emoji23][emoji23][emoji23] mwe mwe unanifunja
mbafu hadi kuku
wananishangaa mimi.

Mgeni: [emoji23][emoji23][emoji23]unanichelewesha mimi,
hata Mwakyembe ni msanii wa
wa basata. Anaimba sana.

Mwenyeji: chubha chubha!! Mwakyembe
jujujuu!?! aah!kumbwani kununu
mwee!!!

Mgeni: ubhaponiege bhosa, anguisa
kangi [emoji137][emoji137]

Mwenyeji: ndagha [emoji137][emoji137]akunyaga kilabho

Na kesho tunaendelea na mapya[emoji23][emoji23][emoji23]

Hawa yuu Cole Williams [emoji137][emoji137][emoji120][emoji120]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ya leo hii? [emoji116][emoji116][emoji116]

Ngoja nianzishe kampeni kamanda Wenga arudi tu kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Washabiki wa mipira mna shida kwa kweli...
View attachment 980856

Hiyo ni ya “reoreo” aisee! [emoji1][emoji1]... Mzee wa Liver huko aliko nadhani sasa hivi anakata kinywaji tu! [emoji1][emoji1]
 
Sasa yego?
Uko poa?
Changamka uitwe hubby ake shauri yako[emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app

Niaje? Mimi niko poa kabisa! Ngoja nikomae na uvuvi labda baada ya miaka kadhaa nitampata wa kuniita Hubby ake! Wa kunibeba mgongoni kunipeleka msalani! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
455215883_22364.jpeg
 
Nini kinaendelea hapa?

Jamaa alikuwa kwenye yale mambo yetu ya kirijali ama?

Ni kweli alifika home salama?

Thanks mama zetu kwa kutuombea bila kuchoka [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ndio bro,,jamaa alikuwa kwenye mambo yetu

Halaf ilikuwa usiku mnene,mama akapata wasiwas usingz ukagoma ikabd amchek kijana

Khs kufika salama hatuwez faham,ujana una mambo meng bro

Na hii kwa wamama wote wanaojari,Mungu awabariki,muda mwingi wanatupigania watt wao tuepukane na mabalaa[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom