Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kila la kheri basi[emoji3][emoji3]Niaje? Mimi niko poa kabisa! Ngoja nikomae na uvuvi labda baada ya miaka kadhaa nitampata wa kuniita Hubby ake! Wa kunibeba mgongoni kunipeleka msalani! [emoji23][emoji23][emoji23]
Amin[emoji120][emoji120][emoji120]tutazidi kuwaombea.Ndio bro,,jamaa alikuwa kwenye mambo yetu
Halaf ilikuwa usiku mnene,mama akapata wasiwas usingz ukagoma ikabd amchek kijana
Khs kufika salama hatuwez faham,ujana una mambo meng bro
Na hii kwa wamama wote wanaojari,Mungu awabariki,muda mwingi wanatupigania watt wao tuepukane na mabalaa[emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, mwanaume wa mikoani kwenye ubora wake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Eti shabiki wa Aseno [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 980862
[emoji23][emoji23][emoji23]