mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama ya Tavez na Man UMATUMIZI mabaya ya pesa. Mesut Ozil analipwa Pauni 350,000 kila wiki, lakini wala hazitolei jasho.
Anakula mshahara wa bure. Hivyo ndivyo Arsenal wanavyomlipa Mjerumani huyo kwa wiki. Pauni Laki Tatu na Nusu. Ndio, Pauni 350,000 na hachezeshwi. Kocha Unai Emery ni kama anamwondoa Ozil kwenye kikosi chake.
Prof, is that you?
[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 981323
Ndipo hapo lawama za vibamia vs. mabwawa zinapoanzia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]