Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haleluya. Mungu tufikishe mwaka mpya salama Baba. Tena ukawe mwaka ambao ndoto zetu zitatimia. Wenye kusaka wenzi wa maisha wakapate. Wenye kutafuta ajira wakafanikiwe. Wanaosaka watoto au mafanikio ya kimaisha ila zaidi ya yote tuweke hai Baba [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Amun Ra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…