Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haleluya. Mungu tufikishe mwaka mpya salama Baba. Tena ukawe mwaka ambao ndoto zetu zitatimia. Wenye kusaka wenzi wa maisha wakapate. Wenye kutafuta ajira wakafanikiwe. Wanaosaka watoto au mafanikio ya kimaisha ila zaidi ya yote tuweke hai Baba [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 981375
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nao wasijichetue akili.....Walikuwa wanaelewa sana nilipo [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwani mwaka mpya lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka mpya inategemea na kalenda unayotumia Prof. Kwa watumiaji wa Gregorian calendar mwaka mpya umekaribia [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
455104281_63248.jpeg
 
Haleluya. Mungu tufikishe mwaka mpya salama Baba. Tena ukawe mwaka ambao ndoto zetu zitatimia. Wenye kusaka wenzi wa maisha wakapate. Wenye kutafuta ajira wakafanikiwe. Wanaosaka watoto au mafanikio ya kimaisha ila zaidi ya yote tuweke hai Baba [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 981375
Uzima na afya ndio mtaji wetu[emoji120][emoji120]
IMG_20171004_190830.jpeg
 
Back
Top Bottom