Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

47586037_436598526876519_4242263356289675511_n.jpg
 
Liverpool wazuri sana Mkuu, lakini mpira hudunda nani alitegemea jana Spurs wapigwe 3-1 na Wolves. Nausubiri Mchapo wa MANC na Liverpool kwa hamu kuu. Matokeo ya mechi hiyo yanaweza kutupa mwanga nani atatwaa kikombe cha EPL mwaka huu.
Najua Liver wapo vizuri Bro,

Mpira na hali United walo nayo una nipa raha sana!

Bado naamini tunaweza kumchalenji Liverpool hata kuchukua Point 3 mbele yake pia inawezekana.
 
Ndiyo utamu wa Mpira Mkuu lolote linawezekana na sasa hivi MANU wanacheza kwa confidence kubwa kwamba wanaweza kuifunga timu yoyote ile kwenye EPL. Duru la pili la EPL litakuwa tamu sana. Na timu yangu Arsenal imeanza kusua sua kama hakutakuwa na improvement haraka sitashangaa tukishuka hadi nafasi ya saba au hata ya nane.

Najua Liver wapo vizuri Bro,

Mpira na hali United walo nayo una nipa raha sana!

Bado naamini tunaweza kumchalenji Liverpool hata kuchukua Point 3 mbele yake pia inawezekana.
 
Back
Top Bottom