Kabisaaa kamanda. Mungu ni mwema sana. Sote tubarikiwe katika mwaka huu mpya tuliouanza.[emoji106][emoji106][emoji120][emoji120][emoji120]Natumai umeuona mwaka kamanda wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
😉😉😉😉
SIO JF BAADHI YA MEMBERSYani JF siku hizi ya kipumbavu sana.
Baadhi ya members ndio wanabadilisha taswira ya JF inaonekana haifai siku hizi. Wasingekuwepo hawa bado ingekua ni sehemu pendwa kwa watu.SIO JF BAADHI YA MEMBERS
Pole unatafuta bikra JF?, humu tafuta majukwaa tu mkuu bikra nenda mission kwa masister!Wanawake wa humu woote siyo bikra, kama ww bikra jitokeze tuone
Tarehe 7 January 2019. Nimemtafutia daftari za mistari mikubwa na midogo pamoja na ya vidimba. Natumaini kwanzia wiki ijayo hamtauona huu upuuzi.MA-MODERATORS BADO WAMESINZIA HAWAJAUFUTA TU HUU UZI?
SHULE ZINAFUNGULIWA LINI KWANZA, MAANA SI KWA UJINGA WA KUKOSWA STAHA KIASI HIKI[emoji57][emoji34]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa kujitunza.Siyo kweli bali unadhalilisha wanawake.
Mm nimo JF kwa muda mrefu lkn ninayo bikra.