Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bayern Munich nayo ilitajwa kuhitaji huduma ya mchezaji huyo, hivyo yeyote atakayeweka mkwanja mezani kwenye dirisha hili anabeba mchezaji huyo. Kitu kingine kinachotazamwa kwenda kuwashtua watu ni mpango wa Yaya Toure kurudi kwenye Ligi Kuu England baada ya miezi michache kupita alipofunguliwa mlango wa kutokea huko Man City. Toure kwa sasa ameachwa na klabu yake ya Olympiakos na huenda akatua West Ham United au Crystal Palace.
 
Kuna orodha ndefu ya wachezaji wanaotarajia kuwashangaza wengi kwa kubadili klabu zao kwenye dirisha la Januari na mmoja kati ya mastaa hao ni kiungo Aaron Ramsey wa Arsenal.

Staa huyo wa kimataifa wa Wales mkataba wake unafika tamati mwisho wa msimu na tayari huko kwenye meza kuna klabu kibao ikiwamo Paris Saint-Germain, Bayern Munich na Juventus zinahitaji huduma yake, huku mchezaji mwingine anayetarajia kubadili klabu ni Cesc Fabregas wa Chelsea na Emiliano Sala wa Lille.
 
Klabu nyingine zimekuwa nikipendelea kufanya usajili wa Januari ili kuboresha vikosi vyao baada ya kuonyesha udhaifu kwenye duru la kwanza la msimu. Liverpool ilimbeba beki wake bora kabisa, Virgil van Dijk kwenye dirisha la Januari sawa na ilivyofanya Man United ilipomnasa Alexis Sanchez na Man City ilipomchukua Aymeri Laporte. Januari hii ya mwaka 2019 kuna staa gani atashangaza watu kuhama timu yake. Sapraizi!
 
WWE
FB_IMG_1546160894655.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom