Naona hata @moderators wa zamani watakuwa wamestaafu, waliopo ni fb generation!!
H A K I K ABaadhi ya members ndio wanabadilisha taswira ya JF inaonekana haifai siku hizi. Wasingekuwepo hawa bado ingekua ni sehemu pendwa kwa watu.
Hahaaa inawezekana aiseeeNaona hata @moderators wa zamani watakuwa wamestaafu, waliopo ni fb generation!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Samaki mmoja akioza,SIO JF BAADHI YA MEMBERS
Jamaa silaha yake kuu ni kichwa chake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kichwa cha chuma. Akikugonga nacho hoiii [emoji16][emoji16][emoji16]