Ndio maana nimesema mwanzo id za jf ni kama nguo. Hujanielewa???
Mtu huwezi kuvaa nguo moja kila siku na kila mahala.
Ndio maana watu nguo zao sikichanika tunapeleka kwa fundi kushona.
Wakati huo mtu uchukua nguo nyingine na kuvaa.
Kila nguo ina sehemu yake kuna nguo za sehemu za ibada,
Kuna nguo za harusi.
Pia kuna nguo za disco cheza.
Pia kuna nguo za kulalia.
Pia kuna nguo za kazi.
Ukinielewa nini namaanisha tutaenda pamoja.
Sasa hii unayoiona hapa ni vazi la kuja kugonga likes na kupokea likes.
Ila ukinielewa vizuri sidhani kama kuna haja ya kuendelea