Ukimaliza shot ya nne unataka kwenda ya tano na bae be like "si ubakishe ya asubuhi" ingia kwa playlist umwekee ile ngoma ya "sijui kaa ntaona kesho ,kaa ningali na uwezo wa kufanya ntaifanya hadi mwisho.....[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Happy new year watu wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]