capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Shabiki wa ukweli,bravoo mzee wa liver maana wenzio wapo busy kjmlaum klopp mara hendo,mara lovren bila kumsahau milnerHongera poti game yenu imekuwa nzuri sana mlistahili ushindi
Aiseee nae badala aweke wazi ID ya mhusika kabaki mafumbo tu
Anatupa kazi ngumu, kabaki tu anataja herufi ya mwanzoAiseee nae badala aweke wazi ID ya mhusika kabaki mafumbo tu
Hahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahaahahahahahah
Hapo sasa mfyuuu zake