mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Uchawi sio mpka ubebe tunguri[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahacongrats kwa kuichana unbeaten rekod
Uchawi sio mpka ubebe tunguri[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahacongrats kwa kuichana unbeaten rekod
Dah haya bhanaView attachment 985426
Mzee wa Liver, yaliyopita si ndwele; Tugange yajayo. Bado unaongoza kwa point nne, relax Bro! [emoji1][emoji1]
Hahahaha hatari unajua tulizoea vya kunyonga tu sasa hii imekuwa shubiriKule kwenye uzi wao city kawavuruga kabisa,wanatukanana na kumuita kocha mbwa,wachezaji mashoga aiseee
Salama mkuu
Nzuri mkuu japo jana tulipigwa na city
Amun RaNaomba nitumie nafasi hii kujipa pole mwenyewe na wapenzi wengine wote wa Liverpool kwa kipigo cha usiku uliopita toka Man City,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuuMashabiki koko hao......ndiyo mana nikiingia huko huwa napita njia tu[emoji10][emoji6]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna timu isiyofungwa dunianiWengi hawajielewi,wanataka ushindi tuu ili wafurahishe nafsi zao
Safi kabisa...kwako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naomba nitumie nafasi hii kujipa pole mwenyewe na wapenzi wengine wote wa Liverpool kwa kipigo cha usiku uliopita toka Man City,
Sent using Jamii Forums mobile app