myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hahahacongrats kwa kuichana unbeaten rekodWala siamini, acha maigizo basi! [emoji1][emoji1]
Kule kwenye uzi wao city kawavuruga kabisa,wanatukanana na kumuita kocha mbwa,wachezaji mashoga aiseeeView attachment 985426
Mzee wa Liver, yaliyopita si ndwele; Tugange yajayo. Bado unaongoza kwa point nne, relax Bro! [emoji1][emoji1]