Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

_Lakini Nuhu aliamua tu kutusababishia Malaria ule mda Mbu zilikuwa mbili ndani ya safina si angeziua_*
448415383_426263.jpeg
 
Kuna Mfuko Mmoja wa hifadhi ya jamii,tawi la mkoa

Ukifika pale ,,kuanzia cleaner hadi meneja wa tawi ni kutoka British Kingdom

Aisee!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nogambaki mnyamahanga?

Hawa wakikaa mahali huwa wanakaba mpaka penati ng'wanawane. Ndiyo maana Nyerere alikuwa hawaamini.
 
Back
Top Bottom