capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Wacha wachomwe tu vyombo vyetu havitoi bado stahiki kwa wavunjaji sheria.
Na kwanini mtu aamue kuwa Mwizi/Jambazi.?
Hkuna jambo anaweza kufanya apate kula ya kila siku.?
Huko ni kurudishana nyuma kimaendeleo! 3rd WCs
Hakuna justification ya kitendo hicho. Angekuwa ameua pengine...Au hii imetokea huko Saudia?Hasira za kuibiwa plus vyuma kukaza watu wakaamua wamalizane nae maana wanajua wakimpeleka kwenye vyombo vya dola kesho atarudi uraiani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupigwa sawaWapigwe tuu😎
Tumeumbwa kwa huruma, ila hawa shwaini hawafai hata kwa shilingi mbovu. Walivunja dirishani kwa binti yangu wa kazi mchana kweupee, walitamba nyumba nzima, vichupi vyangu vya uzeeni wakavitandaza koridoni shwaini zao. Kuja kukagua kibubu cha ada 3.8m haipo na ilikuwa nikailipe kesho yake.More than pathetic
Juzi nimetumia video jamaa wanawachoma moto wezi wa tatu sababu wameiba pikipiki
The world is very strange bro
Ha hah!Tumeumbwa kwa huruma, ila hawa shwaini hawafai hata kwa shilingi mbovu. Walivunja dirishani kwa binti yangu wa kazi mchana kweupee, walitamba nyumba nzima, vichupi vyangu vya uzeeni wakavitandaza koridoni shwaini zao. Kuja kukagua kibubu cha ada 3.8m haipo na ilikuwa nikailipe kesho yake.
Niseme tu siwapendiView attachment 985915