Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hilo la ushahidi kwetu ndo linatupa changamoto, utadhani tumewekewa CCTV s mitaani!
Mkuu yaani unatoa maelezo hadi macho yanatoka na askari anasaidia kuyarudisha bado hakuamini, unarusha mikono huku na huko kama supporting documents za maelezo yangu lakini wapi, machozi na kamasi vinanimwagika naambulia "pole sana mzee, ukisikia fununu zozote tujulishe" aaarghh...
 
boss_military_40525232_450710202090170_2105520102210757385_n.jpg
 
Mkuu yaani unatoa maelezo hadi macho yanatoka na askari anasaidia kuyarudisha bado hakuamini, unarusha mikono huku na huko kama supporting documents za maelezo yangu lakini wapi, machozi na kamasi vinanimwagika naambulia "pole sana mzee, ukisikia fununu zozote tujulishe" aaarghh...

Ha hah

Me nikikuta mwizi anapigwa mahali wala hata sijisumbui, napita zangu.
 
Back
Top Bottom