myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Oi..Oii..oiii.. ...Baba Viv alipotelea Mogadishu hukooo....
View attachment 985938
Tunaishi na jamii ya watu wakatili ajabuJamii ya kijinga tu. Inakata mikono wakata wavu wa madirishani lakini inaabudu mafisadi yanayokwapua mabilioni. Pathetic !!!
Ukatili uliovuka mipaka, ndiyo maana huwa sipendi hata kusogea mahali anapopigwa mwiziHasira za kuibiwa plus vyuma kukaza watu wakaamua wamalizane nae maana wanajua wakimpeleka kwenye vyombo vya dola kesho atarudi uraiani
Sent using Jamii Forums mobile app