Yale hayana shida yanashuka daily hila yanakuwa matamu timu ikishinda [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ooooooops. May be nikupe pole tu kwa kichapo hicho kitakatifu. Majibapa na yale makorokocho mengine kweli jana yaliteremka?
Heri uamini Mungu yupo uende umkose lakini ukiamini hayupo halafu unamkuta amekaa kwenye kiti chake cha enziAfadhali kuketi kwa baa ukimfikiria kuhusu Mungu kuliko kuketi kanisani ukifikiria kuhusu pombe.