Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Maisha binafsi
Pulisic alizaliwa huko Hershey, Pennsylvania, ambako ndiko alikoshughulika zaidi na maisha ya kishule. Wazazi wake, Mark na Kelley Pulisic, wote walikuwa wanasoka waliocheza George Mason University. Baadaye, baba yake alikuwa mchezaji wa kulipwa wa soka la ndani huko Harrisburg Heat kabla ya kuwa kocha wa mchezo huo. Babu yake Pulisic, Mate anna asili ya Croatia. Lakini, staa huyo mpya wa Chelsea ana binamu yake anaitwa Will Pulisic, ambaye ni kipa wa Burussia Dortmund na timu ya vijana ya chini ya miaka 17 ya Marekani.