Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MUDA tu ndio utakaoamua kuhusu Cesc Fabregas kuachana na Chelsea na kwenda kutafuta maisha kwingineko. Kiungo huyo wa Kihispaniola Jumatano iliyopita alionekana kama anawaaga mashabiki wa Chelsea wakati alipokuwa akipunga mkono huko Stamford Bridge kwenye mechi ya Ligi Kuu England iliyomalizika kwa sare dhidi ya Southampton.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…