Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Fabregas ataondoka kwenye Ligi Kuu England akiacha alama zake matata kabisa kwenye vitabu vya rekodi. Kwa kifupi tu, Fabregas waweza kumwita ni pasi masta. Kwenye dirisha hili la uhamisho wa Januari amekuwa akihusishwa na mpango wa kutimkia AS Monaco, ambako atakwenda kukutana na mchezaji mwenzake wa zamani waliyecheza pamoja huko Arsenal, Thierry Henry, ambaye kwa sasa ni kocha.