Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukiupitia uzi huu kwa umakini utajifunza jinsi ya kukabiliana na hoja ngumu za watu mbali mbali humu, kuna watu wanapitia magumu, lugha za matusi haziji hivi hivi.

Mmoja akilipuka mpokea mlipuko asikubali kulipuka, itasaidia kuuzima mlipuko bila kuleta madhara.

Mtoto anatakiwa kutunzwa na wazazi (sio walezi) wawili kwa upendo mkubwa, bahati mbaya sana ni watoto wachache mno wanao pitia malezi hayo.
Mungu aingilie kati...

Una uhakika gani kuwa u mtoto wa baba'ko? - JamiiForums
Na ni ukweli ndugu yangu swala la malezi ni mtambuka sana Mungu atusaidie kwa kweli lakini pia kila mmoja wetu anatakiwa kukubali Kubeba majukumu yake

Tunapitia Mengi sana
 
Ngoja nipitie lakini mimi naona kipindi hiki watu wengi wanamihemko sana mitandaoni sijui sababu nini mpaka nafurahigi yaani utakuta unakuta mtu anapolomoka na maneno machafu na matusi sijui stress

Binafsi mimi Siwezi kupata moto mtandaoni hata iweje

Ila ndiyo binadamu ndugu yangu tunatofautiana sana mimi naielewa Tofauti yetu Binadamu

ALL IN ALL Let's STRIVE To Be Better
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kuna mmoja juzi from no where kaniita bashite,nikaishia tu kumpa ahsante maana hata kosa sikulijua.
Vipi hali huko Vingunguti kwema?
 
Back
Top Bottom