Good mkuuKabla hujaanzisha biashara yako, andika angalau kibusiness plan cha uongo na kweli ili upate picha ya uhai wa biashara yako utakavyokuwa, ushindani utakaokutana nao, mtaji utakaohitaji na mambo mengine ya muhimu. Siyo unasikia kijiweni kuwa biashara ya mpunga inalipa nawe unajitosa.
Kitabu hiki kitakuelekeza hatua kwa hatua jinsi ya kuandika business plan itakayokidhi mahitaji yako.
View attachment 989370
View attachment 989374
Jamani, hatarrr sana. Polepole vitu ingine ni hatarrr, vinahamasisha vibaya!
Kabisa bro ngoja tuongeze maarifa
DoohKamanda Moud. Njoo uone mieleka ya ukweli huku. Achana na hayo maigizo ya WWE [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 989387