Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
#Kuchapiwa Hakuepukiki#
Hata utembee naye mfukoni akitaka kuchapwa nje atachapwa tu...Sembuse huyu wa kuishi mbalimbali?
#Kuchapiwa Hakuepukiki#
Bro bhana umenichekesha sana hakuepukiki sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]