Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yego.

Ai emu vere hepi tunaiti. Alabama wamepigwa tena kipigo cha mbwa koko. Shwaini inbred racist hillbillies with their arrogant coach..Crimson Tide my foot...Dabo Sweeney is da man...Go Clemson Go !!!

c2f1f1f8-0c54-4da5-b090-2882dcf81d95.gif
 
SALA YA ASUBUHI

Siku mpya inaanza ,
nimwabudu Mungu kwanza
Mungu wangu Baba yangu,
upokee shukrani zangu
Wewe kwa usiku mzima,
ulikuwa kwangu daima
Kunilinda kwa amani,
na mitego ya shetani
Kwako Baba wa milele,
ninaomba neema tele
Niepuke dhambi zote,
nikutumikie kote
Ubariki kazi yangu,
shida na furaha zangu
Malaika kiongozi,
nipeleke kwa mwokozi
Yesu nijalie neema
niwe daima mkristo mwema

Amina

Niwatakie siku njema na yenye baraka tele tukatende kadri ya mapenzi yake Mungu Baba yetu
Amen, siku njema bro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom