Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
kwann iwe hvyo bro??Tumia kondomu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
kwann iwe hvyo bro??Tumia kondomu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kuna jamaa kasema hivi[emoji116][emoji116]Tumia kondomu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kwa mwendo huu yule junia atalelewa na nani sasa?Mdogo wangu COLE William hebu pokea kilicho ndani ya hizo fungua na funga semi... Utakuja kulia hapa kwa uzembe shauri yako.... Uzee huu mweee
Naomba utuvumilie tu, huyu ni mdogo wetu hatuwezi kumuacha apotee. Kijana wetu ni mpole sana, naomba umuelewe. Sio kwamba ni mwoga kujieleza jambo linalo mkabiri ra hasha,ni mzito hasa kwa kitu/mtu anaye mpenda, si unajua vijana hawa mahendisamu wanao jielewa huwa wanakuwa hawana papara kwa kuogopa fedheha... Ewaaa hapo umenielewa sasa, ndivyo alivyo mdogo wetu. Ila ni mcheshi sana, hata ukimchokoza kwa vimaneno vya kichokozi sio mbaya...
Karibu sana Mwakaleli consuela, nina mengi ya kukusimulia (ni utani tu) juu ya mdogo wetu. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Heri ya mwaka mpya binti yangu mpole, kila lenye heri likawe upande wako
Kivuruge usha rudi?Kwa mwendo huu yule junia atalelewa na nani sasa?
Mweee!![emoji134][emoji134][emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kivuruge usha rudi?View attachment 988921