moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Aisee
- Kuna mtu ameshuka kwenye kiwanja cha ndege Kizuri cha Bukoba, kisha akapokelewa kwa lami hadi uwanjani alipofika jukwaani eti serikali haijafanya kitu yani kiwanja cha ndege na barabara za lami hakuziona, tuwapuuze''.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bashite mbona poa tu. Ungeitwa kibuyu je? Au punga?
Jukwaa la siasa kule watu utafikiri watu wamerogwa. Na wengine ni wanaharakati wetu wanaopigania uhuru wa kutoa mawazo yao kwa uhuru bila kubanwabanwa na kukunguwazwa. Mtu unabaki unajiuliza: hawa kweli wanajua hata wanachopigania? Mbona wakali hivi?
[emoji91][emoji91]
Duh!!!Kitendo cha Pochettino kumuingiza mshambuliaji wake tegemeo Harry Kane katika dakika za lala salama huku wakiwa wanaongoza kwa mabao 6-0 kimeonekana kuwakwaza mashabiki wa Spurs ambao wamekitafsiri kama cha hatari zaidi kuwahi kufanywa na kocha huyo.
Kama Mimi ni hakimu naoa[emoji23][emoji23][emoji23]