Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah aiseee kama najiona vile
Bila uzi unao husiana na diamondi humu, wewe ni mpole kuliko wasichana wote Jf. Tatizo Mondi.... Sijui alikukosea nini[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Naomba utuvumilie tu, huyu ni mdogo wetu hatuwezi kumuacha apotee. Kijana wetu ni mpole sana, naomba umuelewe. Sio kwamba ni mwoga kujieleza jambo linalo mkabiri ra hasha,ni mzito hasa kwa kitu/mtu anaye mpenda, si unajua vijana hawa mahendisamu wanao jielewa huwa wanakuwa hawana papara kwa kuogopa fedheha... Ewaaa hapo umenielewa sasa, ndivyo alivyo mdogo wetu. Ila ni mchesi sana, hata ukimchokoza kwa vimaneno vya kichokozi sio mbaya...
Karibu sana Mwakaleli consuela, nina mengi ya kukusimulia (ni utani tu) juu ya mdogo wetu. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Heri ya mwaka mpya binti yangu mpole, kila lenye heri likawe upande wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na huu ndio undugu wa kweli sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba utuvumilie tu, huyu ni mdogo wetu hatuwezi kumuacha apotee. Kijana wetu ni mpole sana, naomba umuelewe. Sio kwamba ni mwoga kujieleza jambo linalo mkabiri ra hasha,ni mzito hasa kwa kitu/mtu anaye mpenda, si unajua vijana hawa mahendisamu wanao jielewa huwa wanakuwa hawana papara kwa kuogopa fedheha... Ewaaa hapo umenielewa sasa, ndivyo alivyo mdogo wetu. Ila ni mchesi sana, hata ukimchokoza kwa vimaneno vya kichokozi sio mbaya...
Karibu sana Mwakaleli consuela, nina mengi ya kukusimulia (ni utani tu) juu ya mdogo wetu. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Heri ya mwaka mpya binti yangu mpole, kila lenye heri likawe upande wako
Amina. Heri ya mwaka mpya ikawe kwako pia. By the way ahsante kwa kunipa intro fupi ya kijana mpole [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikipata muda nitaupitia mkuu ili nijifunze kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Yea kuna jamaa alianza na komenti ya kwanza kwa kutukana, kaishia kuwa mhubiri na kuwaombea watu waache lugha chafu na kuheshimu wazazi ili wauone ufalme wa Mbinguni. Nikabaki namshangaa,lakini alikuwa ameguswa na yaliyo mkuta aliye kuwa anamtusi hadi akaanza kumuonea huruma tena.
 
Back
Top Bottom