Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji12][emoji12][emoji12]
tapatalk_1546798061911.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nipitie lakini mimi naona kipindi hiki watu wengi wanamihemko sana mitandaoni sijui sababu nini mpaka nafurahigi yaani utakuta unakuta mtu anapolomoka na maneno machafu na matusi sijui stress

Binafsi mimi Siwezi kupata moto mtandaoni hata iweje

Ila ndiyo binadamu ndugu yangu tunatofautiana sana mimi naielewa Tofauti yetu Binadamu

ALL IN ALL Let's STRIVE To Be Better
Asee, mi pia nashangaa.
Watu wana kauli chafu hatari, kiasi mpaka nashindwa hata kupitia baadhi ya majukwaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom