Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bashite mbona poa tu. Ungeitwa kibuyu je? Au punga?

Jukwaa la siasa kule watu utafikiri watu wamerogwa. Na wengine ni wanaharakati wetu wanaopigania uhuru wa kutoa mawazo yao kwa uhuru bila kubanwabanwa na kukunguwazwa. Mtu unabaki unajiuliza: hawa kweli wanajua hata wanachopigania? Mbona wakali hivi?
Daa asee watu waliopo kule wanasikitisha sana.
Yani yale ambayo wao wanayadai hawataki kuwapa wengi. Huwa najiuliza kama kweli wanajua wanachodai au laa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
?utm_source=ig_share_sheet&igshid=1810gwanp6i8h.jpg
 
Kweli kabisa ni kuwaonea. Hawajafikia umri wa kujitambua
Honesty siwaombei mabaya ila unakuta hawa wanauchukulia mkataba simple sana si kusaini tu kisha kupewa makaunta etc basi ndo ujenzi wa kizazi cha wasioheshimu mikataba ili mradi kasain kapata akitakacho bila kuusoma mkataba wenyewe ulivyo,mashart yake etc
 
Naikumbuka bro, hicho ndiyo kile kipindi kigumu kwa Simba pale ilipokoswa koswa kushuka daraja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa leo alikuwa ananisimulia ilivyokuwa aise,nasikia ilibidi Yanga ikubar kupoteza kwenye game yake ya mwsho na simba ili kuifanya simba ibak ligi kuu,,vinginevyo ingeshuka daraja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwanachama mmoja wa Simba kibopa furani wa jijini Dar alikua anafadhiri wachezaji ili Simba ishuke daraja kwa sababu ya chuki zake binafsi kwa aliyekua katibu mkuu wakati huo marehemu Jimmy David Ngonya.
Tumepita kipindi kigumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee,polen sana,,ngoja nipumzke bro,,ntakuchek muda mwingine unipe japo kwa uchache juu ya timu hz Pamba wana TP lindanda,Reli ya morogoro nasikia kuna kipind iliitwa kiboko ya vigogo,,,najua una meng juu ya soka hl la bongo!!

Baadae kidogo bro,,,uwe na wasaa mwema hapo ulipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom