Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna jamaa leo alikuwa ananisimulia ilivyokuwa aise,nasikia ilibidi Yanga ikubar kupoteza kwenye game yake ya mwsho na simba ili kuifanya simba ibak ligi kuu,,vinginevyo ingeshuka daraja

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga ilifungwa kihalali wala haikulegeza kama baadhi ya watu wanavyodai.
Yanga walikamia mechi hiyo nje na ndani ya uwanja.
Zilikua jitihada za Edward Chumila kwa shuti lake kali ambalo kipa Sahau Kambi badaye alipata msukosuko kwa kulitema shuti hilo ambalo John Makalele alimalizia na kuandika goli la pili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah aiseee kama najiona vile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
a2b99ad92f7eba4952ecf07bc7222836.jpg
 
Back
Top Bottom