Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

The Rock
FB_IMG_1546617730584.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yea kuna jamaa alianza na komenti ya kwanza kwa kutukana, kaishia kuwa mhubiri na kuwaombea watu waache lugha chafu na kuheshimu wazazi ili wauone ufalme wa Mbinguni. Nikabaki namshangaa,lakini alikuwa ameguswa na yaliyo mkuta aliye kuwa anamtusi hadi akaanza kumuonea huruma tena.
Huenda alitembelewa kwa muda na pepo mchafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom