moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
AseeHakuna serikali iliyowahi kujenga nyumba za wahanga duniani pote. Na sisi hatujengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
AseeHakuna serikali iliyowahi kujenga nyumba za wahanga duniani pote. Na sisi hatujengi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kuna watu wana husda sna....hata kama unaogelea baharini watakwambia unawatimulia vumbi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
- Mayalla kwa kisukuma ni njaa, hivyo inawezekana ulizaliwa wakati wa njaa".
Hata kama ni uzi wa like, nimepata kigugumizi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kauli za kishujaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
- Kuna mtu nimeambiwa hapa Zanzibar anazuia watu kutumia kisima,huyo dawa yake mnamtumbukiza kisimani akitoka atakuwa ametosheka maji.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
- Mwandishi: Nje na siasa, kitu gani kingine unapendelea? Unataka nikwambie nakupenda wewe?
Utaaata [emoji16][emoji16][emoji16]
- Kwani tetemeko lilitetemesha na kuvuruga migomba mpaka mseme mnanjaa? Tetemeko likatetemeshe wafungwa wajenge gereza lao!
Hahahahaha, [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kuna mmoja juzi from no where kaniita bashite,nikaishia tu kumpa ahsante maana hata kosa sikulijua.
Vipi hali huko Vingunguti kwema?
Hahahaha[emoji16][emoji16][emoji16]
- Kuna mtu ameshuka kwenye kiwanja cha ndege Kizuri cha Bukoba, kisha akapokelewa kwa lami hadi uwanjani alipofika jukwaani eti serikali haijafanya kitu yani kiwanja cha ndege na barabara za lami hakuziona, tuwapuuze''.
Ikiwa hivyo ndivyo basi wajinga ni wengi kwelkweli miongoni mwetu. Maana uongo unatumika sana kuwaweka sawa viumbe hao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
- mwanamme mjinga ni yule anayemdanganya msichana kwa kudai anampenda kumbe hana lengo naye
Asee, mi pia nashangaa.
Watu wana kauli chafu hatari, kiasi mpaka nashindwa hata kupitia baadhi ya majukwaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hahahahaha, [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
watu wamepagawa.
Nina shaka huenda %90 ya watanzania walikua mafisadi sasa hawaamini kilichotokea, kwahiyo ni full stress.
Habari za usiku mzee wa Chang'ombe TMK
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1784][emoji1784][emoji1784]
- rafiki anayezungumza maneno matamu akiwa mbele yako ila anapokupa mgongo huzungumza maneno mabaya juu yako hana tofauti na kibakuli cha sumu kilichojazwa na maziwa
[emoji870][emoji870]
- mjinga anapoamua kuvaa nguo zenye heshima huonekana kama ni mtu aliye elimika, lakini akifumbua mdomo wake hudhihirisha ujinga wake