andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Yaani watu wameripuka utadhani hiyo ndege wameiona Kongwa inakuja Dar kwa barabara huku nyama ya mbuzi inaning'inia kwenye mabombaTunashika namba wani duniani kwa maneno. Matendo ziro...
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Imepeleka hao mbuzi kwa faida au hasara? Kibiashara huu ni uamuzi sahihi? Hao mbuzi walikuwa kwenye main cabin au kwenye cargo kama inavyotakiwa? Mjadala ulipaswa kujikita kwenye maswali kama haya ...