Hahaha naona unatoa darasa [emoji16][emoji16]Mimi nilikuwa nasaidia tu kufafanua maana ya Te Amo. Nategemea ungemjibu Wifey material 100% Te Amo to you too halafu ukasikilizia zali. Sasa badala yake unanikaba maswali mimi. Bro bana [emoji16][emoji16][emoji16]
Huku kwema...
Naona unatoa darasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shimba kafanya kukufanulia tu, swali lako lingeenda kwa consuela ndio angekujibu vizuri.
Aamin.Kazi tufanye ndugu kwa nguvu tulizopewa..kamwe hatuwez kuendelea tusipofanya kazi ..na vivyo hivyo tusisahau katika yote Mungu ndio wa kwanza
Na tusipopata tusikate tamaa Mungu bado hajatusahau
Sent using Jamii Forums mobile app