myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
20:47
Umeona mkuu,,kama Hakim ni sawa tu,,kutakuwa kuna kamahakama kadogo ndani ya nyumba[emoji23][emoji23][emoji23]Kama Mimi ni hakimu naoa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Mdogo wangu COLE William hebu pokea kilicho ndani ya hizo fungua na funga semi... Utakuja kulia hapa kwa uzembe shauri yako.... Uzee huu mweee
[emoji23][emoji23][emoji23]aiseeSERIKALI HAITAWEZA KUWASAIDIA WAHANGA WA BUKOBA .UKIMWI KWENU MATETEMEKO KWENU HADI KUNA SEHEMU INATWA
Huyu jamaa kajaa usanii mtupu,sijui kama ni kweli watu wanamsaidia kama anavyodai
KikiHuyu jamaa kajaa usanii mtupu,sijui kama ni kweli watu wanamsaidia kama anavyodai
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba utuvumilie tu, huyu ni mdogo wetu hatuwezi kumuacha apotee. Kijana wetu ni mpole sana, naomba umuelewe. Sio kwamba ni mwoga kujieleza jambo linalo mkabiri ra hasha,ni mzito hasa kwa kitu/mtu anaye mpenda, si unajua vijana hawa mahendisamu wanao jielewa huwa wanakuwa hawana papara kwa kuogopa fedheha... Ewaaa hapo umenielewa sasa, ndivyo alivyo mdogo wetu. Ila ni mcheshi sana, hata ukimchokoza kwa vimaneno vya kichokozi sio mbaya...