Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
NI hivi Arsene Wenger anaweza kubamba dili jipya la kazi baada ya Qatar kumweka kwenye orodha ya kumtaka awe kocha wao mkuu kwenye fainali za Kombe la Dunia 2022.
Kocha huyo Mfaransa kwa sasa yupo tu akisubiri kazi mpya baada ya kupigwa chini na Arsenal mwishoni mwa msimu uliopita baada ya kudumu na timu hiyo kwa miaka 22.
Kocha huyo Mfaransa kwa sasa yupo tu akisubiri kazi mpya baada ya kupigwa chini na Arsenal mwishoni mwa msimu uliopita baada ya kudumu na timu hiyo kwa miaka 22.